Picha, Aliyekuwa mpenzi wa Don Jazzy achukuliwa na Iyanya. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha, Aliyekuwa mpenzi wa Don Jazzy achukuliwa na Iyanya.

iyanya 2
Iyanya ameweka wazi mahusiano yake na Freda Francis-Edewor baada ya uvumi wa zaidi ya miezi mitano kuwa wanamahusiano ya kimapenzi. Iyanya amekuwa msiri na mahusiano yake baada ya drama za kuachana na mwigizaji Yvonne Nelson kutoka Ghana.
Freda Francis ameshakuwa na mahusiano na watu maarufu kama  mwanasoka Osaze Odemwingie, Aliyekuwa gavana wa Akwa Ibom ‘Godswill Akpabio’  na producer Don Jazzy.
Don JazzyIyanyaR

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.