Nisha: Natamani Kuzaa Tena Ila...Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nisha: Natamani Kuzaa Tena Ila...Ipo Hapa

Staa wa Bongo Movies , Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja kiutani utani  amefunguka kutamani kuzaa ila anahitaji ushauri azae na nani.
Nisha ambaye kwa sasa yupo nchini China, alitanhaza nia yake hiyo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram.
"Mwaka huu mastaa wengi wamezaa  na mimi nimetamani kuzaa tena dah.. lakini wakuzaa naye sasa nanii ...  sponsor ana mkewe
gandalandizi?? atanifilisi...
Pls nishaurini jamaniii nna hamu kweliii...Niolewe na kuzaa na sponsor anipe kila nnachotaka Ila kulala kwa mkewe,au kaserengeti boy nimpe kila anachotaka nikifulia atoke nduki??".
-bongomovies

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.