Nakukutanisha na Video inayoashiria kuwepo mapenzini Jokate na Alikiba. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nakukutanisha na Video inayoashiria kuwepo mapenzini Jokate na Alikiba.

Bet Sasa
jojoMchana wa leo Aug 14 kwenye kipindi cha XXL kwenye kipengele cha You heard alisikikaAlikiba na ilikua ni baada ya kusemekana wazazi wa Jokate hawajawa tayari kumuozesha binti yao Jokate kwa sababu Alikiba muislam wakati Jokate ni mkristu.
jojo2Saa chache zilizopita mrembo Jokate amepost picha ikimuonyesha Alikiba akiimba kisha akaipa maneno ‘My Everything‘ picha hiyo imepata comment nyingi na comment nyingi zimwasifia kuwa wanaendana hivyo waweke wazi’
Hii ni video aliyopost Jokate.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.