Mrembo Nicki Minaj Anakuletea Game La Kwenye Simu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mrembo Nicki Minaj Anakuletea Game La Kwenye Simu.

Nicki Minaj ameungana na kampuni ya Glu Mobile Inc., inayoongoza kwa kubuni magemu ya kucheza bure kwenye smartphone na tablet, kutengeneza gemu lake la simu.
11374545_1578600255738963_2114040105_n
Gemu hilo litatumia jina la Nicki, sauti na muonekano wake. Linatarajiwa kuzinduliwa mwakani.
Glu Mobile ni watengenezaji wa gemu la Kim Kardashian, Kim Kardashian: Hollywood lililoingiza zaidi ya dola milioni 50 kupitia Apple app store.

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.