Lulu amechumbiwa ? Picha hii yazusha maswali Kibao - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Lulu amechumbiwa ? Picha hii yazusha maswali Kibao

Bet Sasa
Elizabeth Michael aka Lulu amewaacha mashabiki wake njia panda baada ya kuweka picha inayoonesha amevaa pete ya uchumba.
11909953_482864398549512_414207945_n
Picha aliyoweka Lulu na kuibua maswali kibao kutoka kwa mashabiki wake

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mrembo huyo aliweka picha ya mitego ikiwa na caption ‘N.U.D.I’ na hivyo kuwaweka njia panda mashabiki wake.
Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki:
Aubrey_bittoria. Is she engaged?
Ms_gikaro. Engag├ęs or?
Richi_manyota. Ww lulu unatuuwa bhna

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.