Kampuni ya Rockstar4000 watangaza ramsi ujio wa collabo ya Ali Kiba na Neyo wa Marekani. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kampuni ya Rockstar4000 watangaza ramsi ujio wa collabo ya Ali Kiba na Neyo wa Marekani.

ali kkiba.JPG 2
Kampuni inayosimamia vipaji ya Rockstar4000 imetangaza kuwa msanii wao Ali Kiba atamshirikisha msanii wa Marekani Neyo kwenye wimbo wake.
Tangazo linasema,
” Exciting News: African superstar Alikiba will be collaborating with International Superstar Ne-Yo — More news to follow…. #kingkiba #ROCKSTAR4000 ”
Alikiba and Ne-Yo Collaboration! Two world class amazing complete musicians in one room! Explosive Amazing Magic! Keep you posted…. @officialalikiba #kingkiba #ROCKSTAR4000 #RockstarDiaries #CokeStudioAfrica #CocaCola @sevenmosha @neyo ”
Neyo alikuwa Afrika hivi karibu akifanya show kwenye tuzo za MAMA Na alikutana na wasanii tofauti wa Afrika.
Ukiacha Neyo, tayari Ali Kiba amethibitisha anafanya wimbo Davido
ali kkiba 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.