JE Mwanamuziki Beyonce ni mjamzito ? Picha hizi zinaonesha wazi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

JE Mwanamuziki Beyonce ni mjamzito ? Picha hizi zinaonesha wazi.

Beyonce anadaiwa kuwa ni mjamzito.
rs_634x1024-150803125130-634.Beyonce-Laptop-JR-80315
Tetesi hizo zimezidi kuwa kuwa kubwa zaidi baada ya hivi karibuni kuonekana akilificha tumbo lake kwa laptop yake au mikoba anayotembea nayo.

Kwa muda mrefu zimekuwepo tetesi kuwa Jay Z na mke wake huyo wamekuwa wakitaka mtoto wa pili.
2B168F4E00000578-0-image-m-113_1438684926214
Ukweli utajulikana.
2B16ED1600000578-3184851-Setting_tongues_wagging_In_July_the_33_year_old_sparked_rumours_-m-38_1438689344170

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.