Hii ndio video ya Diamond Platnumz iliyofikisha watazamaji Milioni 10 katika Mtandao wa Youtube. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii ndio video ya Diamond Platnumz iliyofikisha watazamaji Milioni 10 katika Mtandao wa Youtube.

Bet Sasa
Muziki wa Bongo Fleva unaendelea kuwa mkubwa kila kukicha…Hii ina maana kuwa Bongo Fleva ina wafatiliaji wengi katika mitandao mbalimbali hasa mtandao wa Youtube…
11820557_1119031481459160_435860393_n
Diamond Platnumz ni msanii anaeongoza kwa kufuatiliwa katika Mtandao wa Youtube kwa wanamuziki kutoka Afrika ya Mashariki…Video yake ambayo amefanya na Davido ya Number One Remix imeweza kufikisha watazamaji milioni 10 mpaka sasa.
11909353_400019843542625_69548289_n

Katika Mtandao wa Instagram Diamond Platnumz ameandika “10 Million + Views thanks alot my people for keep Supporting my Music…🙏
(Watazamaji zaidi ya Milioni kumi 10M, nawashkuru sana… amini si mimi ni Nyinyi na mimi ndio kwapamoja tunakuza Mziki huu…InshaAllah Mwenyez Mungu atusmamie tuzidi fika Mbali…Tuseme Amen🙏) #NumberOneRemix #Ngololo“.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.