Diamond Platnumz azungumzia maslahi kwenye muziki,aliwahi kulipwa milioni 100 kwa show Tanzania. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz azungumzia maslahi kwenye muziki,aliwahi kulipwa milioni 100 kwa show Tanzania.

diamond platnumz
Kwenye interview aliyofanyiwa na Xxl Diamond Platnumz amezungumzia kuwa tayari kufanya chochote kwenye muziki kikiwa na maslahi.
Diamond anasema alikubali kufanya show kwenye tamasha la ‘Kiboko Yo’ la Tigo lililofanyika Leaders Cluds Clubs baada ya kukubaliana na watayarishaji kulipwa pesa anayotaka.
Diamond alisema ” hapa katikati palikuwa na show mi nikawambia hii show ni biashara kwangu mi sikatai lakini you have to pay me, show mi nimelipwa milioni 100 ndio nimetumbuiza, siamini kama kuna msanii wa KiTanzania alishawahi kulipwa milioni 100, hili swala si umetengeneza kama beef , tuifanye biashara 2 Diamond aliendelea kusema  ” Nchi kama Rwanda anaweza lipwa milioni 120, 130 ila ilikuwa mara ya kwanza Tanzania milioni 100, kwasababu ilikuwa beef na sio kwamba show haikulipa, ililipa kwasababu ilikuwa imeshatengeneza tensuon flani kwahiyo tuzitumie hizi vitu kimaslahi zaidi ”
-cloudsfm

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.