Diamond Ashinda Tuzo Mbili za NAFCA 2015 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Ashinda Tuzo Mbili za NAFCA 2015

Mwaka 2015 unaweza kuwa mwaka ambao Diamond Platnumz atashinda tuzo nyingi zaidi za kimataifa.
Diamond akizungumza na waandishi wa habari
Hivi karibuni Diamond alishinda tuzo ya mtumbuizaji bora wa Afrika kwenye MTV MAMA

Weekend hii staa huyo wa ‘Nana’ ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za Nollywood and African People’Choice Awards.
11363819_947417188652129_1926670237_n
Tuzo hizo ni pamoja na Favorite Song of the Year na Favorite Artist of the Year.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.