Collabo ya Diamond Platnumz na Ne-yo yafanyika…Diamond asema ni bonge la ngoma. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Collabo ya Diamond Platnumz na Ne-yo yafanyika…Diamond asema ni bonge la ngoma.

Macho na masikio ya mashabiki wa Diamond ilikuwa ni kuona Diamond Platnumz nae anafanya Collabo na Ne-yo…Jambo hilo limekamilika jana na tayari Diamond Platnumz wameandaa ngoma ambayo inasemekana itakuwa hit song.
diamond-na-Ne-Yo
Kupitia Mtandao wa Instagram Diamond ameandika “Thanks alot my Brother @neyo and the Whole Compound Crew had a great Session, and it was realy nice working with you…can’t wait for the World to hear this Hit Song!! @Diamondplatnumz ft @neyo ….. Cc @sheddyclever @Compoundu @thecorpshow @Jullianl #AfricaTotheWorld

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.