Breaking News: UKAWA Wazuiwa kuzindua kampeni Jangwani Tarehe 29, Soma Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Breaking News: UKAWA Wazuiwa kuzindua kampeni Jangwani Tarehe 29, Soma Hapa


Jiji la Dar es Salaam wamemzuia Mgombea waUKAWA, Edward Lowassa kuzindua kampeni yake kwenye viwanja vya Jangwani Jumamosi ya 29 Agosti , 2015 .Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA , James Mbatia amesema jiji umewagomea kufanya uzinduzihuo Jangwani kwa madai kuwa tayari kuna mtu 
mwingine ambaye ameshalipia uwanja huo. Embedded image permalink

Mbatia anasema pamoja na kufanya juhudi zakuomba kutajiwa aliyelipia uwanja huo iliwazungumze naye , Jiji walikataa.Mbatia anasema viongozi wengine wa UKAWA wanashughulikia suala hilo ikiwa pamoja nakumtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Damian Lubuva kuingilia kati.

Chanzo-cloudsfm

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.