Zimebaki wiki tatu tu Rais Obama aitembelee Kenya, Bibi yake kazungumzia mipango hio hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zimebaki wiki tatu tu Rais Obama aitembelee Kenya, Bibi yake kazungumzia mipango hio hapa


IMG_1510Watu wa Kenya wanahesabu wiki tatu kabla ya kuishuhudia siku ambayo walikuwa wakiisubiri kwa hamu, ugeni wa ‘ndugu yao’ Rais wa Marekani, Barack Obama… Sarah Obama ni bibi yake Obama, amekutana na Gavana wa Nairobi na kugusia kuhusu uwezekano wa Obama kutembelea Kijijini kwao, Kogelo
IMG_1508Balozi wa Marekani Kenya amesema bado hawajapanga Safari ya Obama atatembelea wapi na wapi mpaka sasa.
Mama Sarah amenithibitishia kwamba Rais Obama atatembelea Kijijini kwao kuona Kaburi la Baba yake“, aliongea mmoja wa watu ambao walikuwa karibu na bibi yakeObama.
Matumaini yao wanaamini ujio wake una neema, Shule zitakarabatiwa, barabara zimeanza kukarabatiwa na mengine mengi mazuri yatawafikia pia.
IMG_1494
IMG_1496
IMG_1497
IMG_1499
-millardayo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.