Wimbo Mpya wa Allykiba Uliovuja, Wageuka Kuwa Hit Song...Usikilize Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wimbo Mpya wa Allykiba Uliovuja, Wageuka Kuwa Hit Song...Usikilize Hapa


Wimbo huu ambao upo in form of demo, umeendelea kupata downloaders wengi kwenye web na blogs mbalimbali East Africa, na blogs mbalimbali za Nigeria. Wimbo huu unakwenda kwa jina la "School baby" japokuwa hakuwa umekamilika hata balance ya sauti na beat kuwa haijakamilika lakin umegeuka kuwa hit song.

Hongera kingkiba.

Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.