(Video) Kanye West akutana kwa mara ya kwanza na baba mkwe wake aliejibadilisha kuwa mwanamke. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

(Video) Kanye West akutana kwa mara ya kwanza na baba mkwe wake aliejibadilisha kuwa mwanamke.

“Whats up” Hili ni neno la kwanza kutoka kwa kanye west akiwa na tabasamu zito akimwambia baba mkwe wake Caitlyn Jenner ambae amejibadilisha na kuwa mwanamke.caitlyn-kim-kanye
Katika Interview aliyofanya Caitlyn Jenner hivi karibuni alisema kuwa hajawahi kukutana kwa ukaribu na Kanye West, hivyo amefurahi sana kuonana na Kanye west ambae ni mume wa mtoto wake Kim Kardashian.
Cheki video hapa chini au Bofya hapa

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.