Unafahamu Ishu Ya Msanii Diamond Platnumz Kucopy Video ya Nana ? Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Unafahamu Ishu Ya Msanii Diamond Platnumz Kucopy Video ya Nana ? Ipo Hapa

Bet Sasa
dia
Stori za mitaani zinazungumza kuwa Video ya ‘Nana’ ya Diamond kacopy Video ya ‘Moyo wangu’..mwenyewe amesema wakati anatoa wimbo wa Moyo wangu hakuwa anajulikana sana kimataifa kama sasaivi na alichokifanya kwenye wimbo wake mpya wa Nana kaamua kuiboresha na kuiongezea ubunifu kwa kuchua vitu vichache kwenye wimbo wa Moyo wangu.
UMEIONA VIDEO MPYA YA KCEE FT DIAMOND _LOVE BOAT ? BOFYA HAPA KUITAZAMA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.