Trey Songz hamtaji wala kumuimba baba yake, hii ndio sababu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Trey Songz hamtaji wala kumuimba baba yake, hii ndio sababu.

Bet Sasa
m_treysongz_062015
Star wa rnb Trey Songz amesema huwa anaepuka kumzungumzia baba yake kwenye mahojiano au nyimbo zake sababu hawajaongea kwa zaidi ya miaka minne sasa.
Trey alisema kwenye interview “SIjawahi kuwa na mwanaume mtu mzima kwenye maisha yangu wakati nakuwa, Mama yangu na aunty zangu walinisaidia kila kitu,nguvu walionipa nisinge kuwa nayo kaka baba yangu angekuwa kwenye maisha yangu “.
Trey Songz ni miongoni mwa wasanii wengi wa Marekani wasiokuwa na mahusiano mazuri na baba zao, wengine no pamoja na Missy Elliot na Mary J Bligde.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.