Ray C: Sitanii Niliposema natafuta Mwanaume wa Kunioa, Jionee Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ray C: Sitanii Niliposema natafuta Mwanaume wa Kunioa, Jionee Hapa

Ray C amedai kuwa hafanyi utani kufuatia tangazo lake la kutafuta mume wa kumuoa.
  • “Hahaaha yaani leo nimeipata fresh, simu na msg ni nyingi sana wengi wanadhani natania!Niko serious jamani!endeleeni na maombi huwezi jua u could be the lucky one,” ameandika kwenye Instagram.
  • “Ila ishu ya kutumia simu moja kidogo imeleta tafrani so inaonyesha michepuko ni mingi kwenye ndoa ila najua nikimpata wangu tutarekebibishana kuhusu hilo najua tutaenda sawa tu.”
  • “Mpaka nimeshapata [maombi] mia tano leo tu kwahiyo naona muda si mrefu ntatangaza harusi ingawa wako kwenye mchujo,” amefafanua.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.