Picha za mastaa na familia zao kwenye maisha ya kawaida mtaani - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha za mastaa na familia zao kwenye maisha ya kawaida mtaani

pique family
Mastaa wengi wa soka mbali ya maisha yao ndani ya uwanja…lakini wengi wao wamekuwa wakipenda maisha ya starehe ikiwa ni pamoja na kumiliki magari ya kifahari pamoja na kuwa na nyumba nzuri.
Hapa nimekuwekea mastaa 10 na familia zao kwenye maisha yao ya kawaida wakiwa mtaani:-
van pe
Van Persie na familia yake
etoo family
Samuel E’too na familia yake
drogbaa family
Didie Drogba na familia yake wakifurahi kwenye boti
bekam family
Beckham na mkewe Victoria pamoja na watoto wao
rodrigoz family
James Rodriguez na familia yake
neymar with bruna
Neymar Dos Santos akiwa na mpenzi wake Bruna Marguezine
pique family
Gerard Pique na mpenzi wake Shakira wakiwa na mtoto wao
messi fami
Lionel Messi na mkewe Antonella pamoja na mtoto wao
roon
Wyne Rooney ,mke wake Coleen na mtoto wao.
zlatan
Zlatan Ibrahimovic na familia yake

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.