Picha za baadhi ya washiriki wa mashindano ya kumsaka Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha za baadhi ya washiriki wa mashindano ya kumsaka Miss Kilimanjaro Ambassador 2015

Picha za baadhi ya washiriki wa mashindano ya kumsaka Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 yanayofanyika mkoani Kilimajaro mjini Moshi.
Mshindi Anatarajiwa Kupatikana Siku Ya Ijumaa Ijayo 24 Julai kwenye Ukumbi wa Kili Home Resort kutakuwa na tamasha lenye burudani kibao huku akitumbiza mkali wa muziki Tanzania Diamond Platnumz na wasanii wengine.
Bongo Swaggz kama moja ya wadhamini wa tukio hili tutakufahamisha kila kitakachojiri siku hio so usikae mbali nasi. Unaweza kujiunga nasi Instagram @bongoswaggz pia facebook BongoSwaggz.Com na Utakuwa karibu na Updates zote za Show.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.