Picha ya Diamond Platbumz akilia kwa uchungu yazua gumzo mtandaoni! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha ya Diamond Platbumz akilia kwa uchungu yazua gumzo mtandaoni!

Hit song maker wa #NANANadib Abdul aka Diamond Platnumz amewaacha mashabiki wake njia panda baada ya kutupia hii picha kwenye account yake ya Instagram akionekana analia kwa uchungu sana bila kuandika nini kisa mkasa zaidi ya kuandika neno moja "Lol!"

Lakini wengine kwa kuchunguza picha hiyo walikuja na majibu kuwa inawezekana alikuwa anaimba na wala sio kulia kama ilivyo dhaniwa na wengine.

Tupia maoni yako hapo chini kuwa unadhani kwenye picha hii Diamond alikuwa analia au alikuwa akiimba kwa sauti ya juu/Hisia!
-tubongetz

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.