Picha: Ubora na Viwango Vyangu, TBS Nimeshindikana- Lulu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Ubora na Viwango Vyangu, TBS Nimeshindikana- Lulu

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejifangilia kwa kusema kuwa viwango vyake katkaia maswala mazima za kijipodoa ni ya kiwango cha juu.
Lulu ameandika haya kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka picha hizo hapo juu.
“Diana Elizabeth Michael...! Miss Balozi katika Ubora na Viwango vyangu (TBS nimeshindikana)
Unaweza kuniita Mkali Wa Hizi Kazi pia.Pale Make up Artist wako anapotaka Kukugeuza Mzungu na Nusu…"

Akaandika tena
"Ubora na Viwango vilivyoshindikana na TBS..Kuna mtu atapanic tu".

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.