Mwigizaji Lulu Michael Amwambia Wema Sepetu Haya Baada ya Jina Lake Kukatwa Ubunge viti Maalum - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwigizaji Lulu Michael Amwambia Wema Sepetu Haya Baada ya Jina Lake Kukatwa Ubunge viti Maalum

Baada  ya  matokeo  ya Ubunge viti maalamu Singida kutoka na Wema Kupigwa chini, Lulu  Michael  amemtia  moyo  Wema  Sepetu  kwa  Kuandika  ujumbe  huu;

Kuna matokeo ya aina 3 
>>Kushinda
>>Kushindwa
>>Kudroo. 
  
Mpka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho wanawake wengi ni waoga kujaribu wewe ni mshindi Dada yawezeka Kuna kingine zaidi Mungu amekuandalia.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.