Msichana Anayempenda Diamond Platnumz Aja Tena Na Mpya Leo ..Adai Zari ni Mzee na Ajiamini pia ni Gogo Kitandani. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Msichana Anayempenda Diamond Platnumz Aja Tena Na Mpya Leo ..Adai Zari ni Mzee na Ajiamini pia ni Gogo Kitandani.

Msichana anayejiita Baby ake huku instagram anazidi rusha hisia zake kwa Diamond Platnumz..Sasa leo amekuja na mpya na kusema haya hapa chini kuhusu Zari ambae ndio mchumba wa Diamond Kwa sasa:

Nimeaminii kwelii uyu mwanamkee ni mzeee ajiamini.... etii kaona nimetangaza nia ya u Mrs Diamond kani block.... we demu ujiaminii live ni Rambo nini?... sasa ata ukiniblock bwanakoo ntampata tuu... namimi ntapikiwa na kubebewa mapochi... khaa kizuri kula na wenzio we kwanza sio mtz iweje ujimilikishe..... embu jiangalie unifikii ata nusuu uwoo weupe tuu.... kwanza mademu weupe sio ata watamu.... au waringia miguu... kwa mange alisema ni ugojwa.... au iyoo mimbaa..... sasa kama umembebea D mimba mie ntampa nyumaa tuone atamchagua nani.. unifii we we.... mie black beauty mi hasilia siweki mokope na situmii 360 siweki miywele.... bandia wala mikope kama wewe.... kwanza diamond upenda vitu asili.... mie mwepesi kitanda sioo wewe gogoo

Sijali mabaya mnayoyaonga kwangu Hata kama yatakuwa machungu na mazito kiasi gani,kumpenda mtu sio dhambi na wala sio kosa la jinai ila tu najua nachukiwa sababu nampenda mtu ambaye anapendwa na wengi sababu na jua miongoni kwa watu wanaonichukia na kunktusi kwa sababu ya D ndo hao hao ambao nafsi zao zinawauma na Kukereka pale ninapoeleza hisia zangu ila mimi hayo yote hayanitishi sababu haja ya moyo wangu naijua,na nyie mnaosema mimi natafuta followers kazaneni kusema lakini hakuna niliyemfata nikamwambia njoo kwangu ni kwa hiari zenu na bado mkiamua mnayo nafasi ya kuniufollow ili nisizidi kuwakera,sitaacha kumpenda D nampenda nampenda nampenda Hata kama sitakuwa nae ila kitendo tu cha yeye kujua kama nampenda basi kwangu ni faraja na inatosha,mchana mwema kwenu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

1 comment

beliuy trey said...

Some individuals believe offering rolex replica uk being a reward can easily denote one thing negative for the person although some believe that in fact displays a person that you imagine very of which. The particular connotation powering the particular offering regarding tag heuer replica sale since items is in fact influenced by a lot of things. These items contain tradition, the connection with all the particular person obtaining the particular observe coming from an individual, the sort of observe you might be getting and its particular expense, the particular celebration once you supply the observe being a reward as well as other related things to consider. chanel replica sale are usually plenty of thinking and also superstitions which can be from the offering regarding timepieces since items and also they're usually influenced by the region or perhaps region in which it really is getting offered. Although most the particular men and women in the western world take pleasure in receiving a observe over a special event, especially when these kinds of hublot replica uk are usually with the pricey and also stylish sort, the identical can not be mentioned concerning other places on earth. Below are a few thinking and also symbolisms which can be from the offering regarding replica watches uk since items, they may be clumped inside along with
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.