Maneno Ya Salama Jabir Kuhusu wanaokosoa kazi za Wasanii, Kaisema Pia Video Ya Ally Kiba. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Maneno Ya Salama Jabir Kuhusu wanaokosoa kazi za Wasanii, Kaisema Pia Video Ya Ally Kiba.

Salama Jabir ameamua kuongea kuhusu wanaokosoa Vibaya Kazi za wasanii wa Kibongo.

Katika Mtandano wa Twitter ameandika:
"Wabongo Tumekua Wakosoaji Mpaka Wasanii Wanajishtukia, Hakuna "Zuri Kabisa" Kwenye Macho Yetu... Tuwaache Wasanii Wawe "Wasanii" Nadhani!".


Pia ameandika Maoni yake kuhusu video ya Ally Kiba:
"...Zama Zimebadilika Mpaka Anakwea Pipa Kwenda Kutoa Kideo Kikaaali Tushukuru, Kapendeza, Rangi Nzuri! Mengine Tuyaache!".Baada ya Muda Mfupi aka tweet tena:
"Jana Tulikua Tunaongea Na Wana Job, @OfficialAliKiba Hakua Mtu Wa Vioo Vikali, Yeye Alikua Anatoa Audio Kali Na Video Ya Mwananchi Kamaliza!".

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.