Liverpool yakamilisha usajili wa beki wa Southampton, Nathaniel Clyne kwa dau la Pauni Milioni 12.5 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Liverpool yakamilisha usajili wa beki wa Southampton, Nathaniel Clyne kwa dau la Pauni Milioni 12.5

Timu ya Liverpool imemsajili Nathaniel Clyne, kutoka Southampton kwa pauni milioni 12.5. Mchezaji huyo beki wa pembeni mwenye umri wa miaka 24, amesaini mkataba wa miaka mitano na anakuwa mchezaji wa sita mpya kusajiliwa kuelekea msimu ujao.
2A235D6800000578-3145786-image-a-36_1435751222324

2A235E0100000578-3145786-image-m-30_1435750993028

2A235E0100000578-3145786-image-m-30_1435750993029

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.