Kwa Mara ya Kwanza No Mabomu Maandamano yasio Rasmi ya CHADEMA. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kwa Mara ya Kwanza No Mabomu Maandamano yasio Rasmi ya CHADEMA.

Imekua kama desturi maandamano ya wapinzani kukumbana na mabomu ya polisi lakini kwa mara ya kwanza jana maandamano yasio rasmi ya wapinzani hayakupigwa mabomu pale mmoja wa watia nia wa chama cha upinzani Edward lowassa alipoenda kwa maandamano ofisi za chadema kuchukua fomu na baadae kwenda mpaka ofisini kwake mikocheni bila mabomu huku baadhi ya barabara zikilazimika kufungwa.

-udakuspecially

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.