Jokate Amefungua Milango Kwetu - Niki Wa Pili - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jokate Amefungua Milango Kwetu - Niki Wa Pili

Msanii Niki wa pili ambaye ni moja ya watu wanaounda kundi na kampuni ya Weusi amefunguka na kusema kuwa Msanii Jokate Mwogelo amefungua njia kwa wasanii na wajasiriamali wapya kama wao katika kufanya biashara na kuzidi kutanua wigo wa biashara yao hususani ya Fashion katika maonesho ya kitaifa ya biashara almaarufu kama Sabasaba.

Niki wa Pili alisema hayo alipohojiwa na kituo cha Radio cha East Africa Radio.
"Kwa sisi kama Weusi kiukweli hatukujianda kwa maonyesho ya sabasaba, halafu pia unajua sabasaba inahitaji uwe na mzigo mkubwa na sisi safari hii hatukuwa na mzigo mkubwa kihivyo na kitu kingine kilitukwamisha kwani mtu ambaye huwa anatufanyia kazi zetu ofisi yake alikuwa ameisimamisha lakini mbali na hilo tulikuwa hatujui namna ya kuweza kupata banda katika maonyesho hayo."
"Lakini kila jambo lina mwanzo tunashukuru Kidoti amefungua mlango kwa sisi wajasiriamali wapya tunaoibukia katika mambo ya Fashion nafikiri mwaka ujao tutajiandaa mapema na kulifanyia kazi na kuitumia hiyo fursa kufanya biashara hiyo, katika plan zetu mwaka huu kiukweli hili suala halikuwepo ila mipango ya mwakani itabidi tuliangalie hili suala maana ni fursa nzuri kibiashara." Aliongeza Niki wa pili.
Katika maonesho ya Sabasaba mwaka huu Jokate ndiye msanii pekee ambaye aliweza kuwa na banda la biashara katika maonesho hayo na kuweza kuuza bidhaa zake mbalimbali pamoja na kuweza kujitangaza zaidi jambo ambalo limeweza kusababisha Weusi kuiona hiyo fursa na kuihitaji kuifanyia kazi kwa mwaka ujao.
-Eatv

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

1 comment

beliuy trey said...

The initial self-winding rolex replica sale has been offered to people inside 1931, run simply by an inside device in which employed the particular movements with the wearer's provide. This kind of not merely produced watch-winding needless, yet eradicated the situation regarding over-winding a watch and also harming the device. hublot replica uk has been furthermore the initial observe business to create a really water-proof observe one more motorola milestone coming from novel idea to be able to useful wrist watch. Wilsdorf also travelled so far as undertake a particularly produced rolex replica sale observe linked to the side with the Trieste bathyscaphe, which usually went along to underneath with the Mariana Trench. The particular observe lived through and also analyzed since possessing stored best moment in the course of the descent and also ascent. replica chanel has also produced any popularity inside timepieces suited to the particular extremes regarding deep-sea snorkeling, aviation and also mountain climbing. Sporting activities designs add Oyster Perpetual Marine Dweller 2000 toes inside 1971. This kind of tag heuer replica sale highlighted any helium launch valve, co-invented together with Swiss watchmaker Doxa, to be able to eliminates helium in the course of

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.