Jibu la Linah Baada ya Shabiki Kuuliza Uhusiano wake na Kaka yake Zari (Bosi Mutoto). - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jibu la Linah Baada ya Shabiki Kuuliza Uhusiano wake na Kaka yake Zari (Bosi Mutoto).

Bet Sasa
Kama wewe ni mtu wa stori za mastaa kutoka kwenye mitandao ya kijamii inawezekana ikawa imekufikia hii ya Linah kutajwa kuwa mapenzini na kaka yake Zari The Boss lady ambaye ni girlfriend wa Diamond.
Kwenye Exclusive Interview Linah ameongea na Millard Ayo alipotembelea studio za TZA na hilo swali kuulizwa na shabiki, tazama hii video hapa chini… 
-millardayo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.