Hemed PHD Imebaki Stori Tu Sasa Hivi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hemed PHD Imebaki Stori Tu Sasa Hivi.

Bet Sasa
HemedMwimbaji/Mwigizaji Hemed PHD kutoka kwenye bongofleva time hii anayo hii kwa ajili yetu… amethubutu na ameweza kutuletea video kali iliyofanywa Tanzania kwa kutumia location zenye mvuto ambazo sio kawaida kuziona kwenye video nyingine za wabongo.

Hii video imefanywa Morogoro, Arusha kwenye ziwa Duluti Tengeru, Dar es salaam na Manyara.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.