Dully Sykes naye aamua ku-unfollow watu wote Instagram, aeleza sababu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dully Sykes naye aamua ku-unfollow watu wote Instagram, aeleza sababu

Msanii wa muziki, Dully Sykes amechukua uamuzi kama uliochukuliwa na Alikiba, wa ku-unfollow watu wote kwenye akaunti yake ya Instagram.
Dully
Dully ambaye akaunti yake ina followers 156,017 amezungumza na Bongo5 na kutoa sababu za kufikia kuchukua uamuzi wa ku unfollow watu wote.
dully insta
“Mimi ni mtu mmoja mwenye mapresha presha sana kiukweli…siwezi kufollow watu ambao wanajihusisha na ugomvi, mambo ya kutuma vitu ambavyo mi siwezi kuona na kupenda. Labda nikifollow nifollow media labda ili kujua habari zingine lakini kwa kumfollow mtu ambaye anaweza kupost kitu ambacho anamponda mtu ambaye mimi nampenda labda, unafikiri mimi nikiona nitajiskiaje wakati namfollow, kwahiyo hivyo vitu nimekutana navyo sana nimeiona ngoja ni unfollow kwanza, nitakuja kufollow lakini nitafollow media tu ili nipate taarifa muhimu.” Amesema Dully.

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.