Baada ya kubadilisha jinsia na kuwa mwanamke, Baba yake Kim Kardashian (Caitlyn Jenner) ameorodheshwa miongoni mwa wanawake wenye ushawishi mkubwa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Baada ya kubadilisha jinsia na kuwa mwanamke, Baba yake Kim Kardashian (Caitlyn Jenner) ameorodheshwa miongoni mwa wanawake wenye ushawishi mkubwa

Mtu aliyejibadilisha maumbile na kuwa mwanamke Caitlyn Jenner ameorodheshwa miongoni mwa wanawake 10 mashuhuri wenye ushawishi mkubwa pamoja na Angelina Jolie,Singer Sia na Anna Wintour.

Orodha hiyo iliyoongozwa na waziri wa kwanza wa Uskochi Nicola Sturgeon inawatambua wanawake ambao wamekuwa wakiathiri uma pakubwa.

Nyota wa kipindi cha Keeping up with the Kardashians Jenner aliyejulikana kama Bruce ameorodheshwa katika nafasi ya saba.
Alibadilisha maumbile yake na kujiita Caitlyn katika jarida la Vanity Fair mwezi uliopita.

Mwanariadha huyo wa zamani ambaye wanawe ni pamoja na mwana wa kambo Kim Kardashian na Kendall Jenner ametunukiwa heshima ya kuonyesha maumbile yake mapya kwa uma.
-tubongetz

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.