Aunty Ezekiel Kayathibitisha Tena Mapenzi yake kwa Mose Iyobo na Mtoto Wao. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aunty Ezekiel Kayathibitisha Tena Mapenzi yake kwa Mose Iyobo na Mtoto Wao.

AUTNY
Wengi sasa hivi tunafahamu ya kuwa Aunt Ezekiel ni mama wa mtoto mzuri wa kike aliempa jina la Cookie, baba wa mtoto huyo ni moja ya dancers wa Diamond Platnumz, ambaye anaitwa Mose Iyobo.
Muda mfupi uliopita staa huyu wa Bongo Movie ameweka picha @Instagram, amejichora tattoo ya jina la mwanae na mpenzi wake.
>>> “Sababu ya kuishi, kupumua, kupambana na mafanikio, kupenda na kuumia, kusahau na kusamehe. Sababu ya mimi kuwepo ni wao. Eeehh Mungu! nibariki mimi na wapendwa wangu wawili. Na kwa haya nashukuru. HAPPY 40 DAYS MY WORLD…….@cookie_la_princessa_iyobo”<<< Baada ya maneno hayo ameweka picha hii.
-millardayo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

1 comment

beliuy trey said...One of the better approaches to steer clear of any con is always to familiarize yourself with the particular rolex replica sale you propose about getting. If you'd prefer Raymond Weil timepieces, understand just what choices are currently offered. Know very well what their particular emblem seems like and also understand virtually any specific signifies which can be characteristics about all of their replica watches. Once you learn just what certain observe you want, search for a huge merchant and also examine the particular observe. Next when you go to more compact retailers, you'll be able to spot when it is any artificial. Always check the particular manufacturer's emblem initial to make certain hublot replica uk will be correct. Next notice when yet characteristics are offered about that particular product. Analyze that most elements come in functioning buy. Often the subdials of your counterfeit chronograph observe is not going to perform. Almost every leading brand name could have any amazingly observe confront. rolex replica sale utilize goblet as it is indeed significantly less costly. The best way to check rolex replica uk is always to scuff the face. Amazingly will be scuff immune, yet My partner and i will not advise probably harming items.

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.