Wema agoma kujibu shutuma za picha inayowaonesha na mpenzi wa zamani wa Linah, Diamond asema Linah ni mdogo wake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wema agoma kujibu shutuma za picha inayowaonesha na mpenzi wa zamani wa Linah, Diamond asema Linah ni mdogo wake

Bet Sasa
Baada ya story kuzidi kusambaa kwamba kuna picha inayowaonesha Wema Sepetu na Naga, ambaye alikuwa mpenzi wa Linah.. Kuna uhusiano wowote unaendelea kati yao hii??
PhotoGrid_1433422565118
Soudy Brown wa Clouds Fma kupitia U Heard aliongea nao nahaya ndo yalikuwa majibu yao
Alianza na Linah.. yeye kasema uhusiano wake na Naga uliisha zaidi ya miezi miwili iliyopita kwa hiyo kaendelea na maisha yake hajui kama kuna uhusiano unaoendelea kati ya Wema na Naga.
Akamcheki Wema ambae alikataa kuongea chochote; “Soudy sijisikii kuongea siko kwenye mood“>> Wema Sepetu.
Mwisho Soudy akamcheki Diamond Platnumz, jamaa akasema hamjui huyo aliyekuwa mpenzi wa Linah na hakuwahi kuwa na uhusiano na Linah kwa vile ni kama mdogo wake.
Source: Millard Ayo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.