Welu Ataja Uvumulivu Kama Siri Kuu ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Welu Ataja Uvumulivu Kama Siri Kuu !

Msanii mrembo  anayekuja  juu   kwa  kasi  katika  uigizaji  Filamu  Welu  Sengo  amesema  siri  kubwa  ya  mafanikio  yake  ni  Uvumilivu  katika  kazi  hiyo.
Alisema  ili kupata  nafasi  katika fani  ya  filamu, msanii hupitia vikwazo  vingi .
 Muigizaji   huyo  aliyetamba  katika  filamu  kama ‘MY CHILD’ , ‘WARDA’  ,  NA  MZEE  WA SWAGA, Alisema  uvumilivu  ndicho  chanzo  cha  mafanikio  kwani  katika  maisha  kuna  changamoto  nilizopita  mimi  katika  maisha  ya  kawaida  na  hata katika  filamu  nimekutana  na  vikwazo  vingi.”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.