Waziri afunguka kuhusiana na wanao penda kufanya ngono nyakati za mchana! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Waziri afunguka kuhusiana na wanao penda kufanya ngono nyakati za mchana!

Matamshi ya waziri wa maadili nchini Uganda kuwa Waganda wengi hujihusisha na vitendo vya kufanya mapenzi hasa wakati wa kipindi cha mlo wa mchana yamezua gumzo kali katika vyombo vya habari nchini humo na katika mitandao ya kijamii.
Simon Lokodo ameongeza kusema wamiliki wa nyumba za kulala wageni wakamatwe kwa kuwaruhusu wafanyi kazi wanaotoka maofisini wakati wa mchana na kwenda kula uroda vyumbani humo.

Wengi wanakiri kuwa tetesi hizo zimeenea nchini humo kwamba wengi wa wafanyikazi hutumia fursa ya mapumziko ya mchana kujihusisha na vitendo vya ngono na makahaba au wapenzi wao wa pembeni.

Baadhi wanaunga mkono kauli hiyo ya waziri lakini wengine wamemtaka asijihusishe na maisha ya wengine.

-tubongetz
UNAWEZA KUJISHINDIA SIMU AINA YA HUAWEI MATE 7 NI RAHISI SANA BONYEZA HAPA KISHA BOFYA "VOTE" ALAFU FUATA MAELEKEZO.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.