Wanamuziki wa P-SQUARE Peter and Paul..Wajitetea Kwanini Hawahudhurii Ibada za Kanisani Toka Mwaka 2007 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wanamuziki wa P-SQUARE Peter and Paul..Wajitetea Kwanini Hawahudhurii Ibada za Kanisani Toka Mwaka 2007

P-SQUARE
Imebainika ya kwamba Mastaa wa wa Music Toka Nigeria Peter and Paul Toka mwaka 2007 walipoanza kuwa maarufu hawahudhurii ibada za kanisani jumapili...Wakijitetea Baada ya Kuulizwa Swali hilo P-square wamesema :

"Kila walivyokuwa wakienda kanisani watu huwatazama na kuwafatilia kuliko kufatilia ibada na sala kitu ambacho kinatufanya tujisikie kama tunaharibu ibada za watu ...watu wote tuko sawa mbele ya Mungu ndio maana sio sahihi kufanya watu waache sala sababu yetu"

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.