Video: Tazama jinsi magaidi yalivyoivamia hotel ya kitalii nchini Tunisia na kuua watu 38. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Tazama jinsi magaidi yalivyoivamia hotel ya kitalii nchini Tunisia na kuua watu 38.

Bet Sasa
Takriban watu 38 wengi wao wakiwa watalii kutoka nchini Uingereza wameuawa jana baada ya magaidi wenye silaha kuivamia hoteli ya kitalii ya Imperial Marhaba iliyopo kwenye mji wa kitalii wa Sousse.
2A010DFE00000578-3140454-image-a-71_1435330788129
Miili ya watalii waliouawa ikiwa imefunikwa mataulo

Idadi ya watu waliopoteza maisha inatarajiwa kuongezeka zaidi.
2A02B79C00000578-3140454-image-a-58_1435362268334
Watalii walionusurika wakipeana pole

Kundi la kigaidi na ISIS linadaiwa kuhusika na kumtaja Abu Yahya Qayrawani kuwa ndiye muuaji ambaye hata hivyo naye aliuwa na vikosi vya ulinzi vya Tunisia.
2A0172A500000578-3140454-image-a-13_1435339437560
Chini ni video iliyorekodiwa kwa simu ikionesha tukio hilo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.