Shilole Afunguka “Kwa sasa nimepanga kumbebea mimba na kumzalia Nuh" Soma Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shilole Afunguka “Kwa sasa nimepanga kumbebea mimba na kumzalia Nuh" Soma Hapa

Kutoka kwenye mtima! Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia ishu ya kumbebea mimba mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ili kuwafunga midomo wanawake wa mjini ambao wanamzengea jamaa huyo.

Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa katika pozi na mpenzi wake Nuhu Mziwanda.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Shilole alitiriria kuwa, kwa muda mrefu amekuwa akibanwa na kazi zake za muziki ambazo anafanya na mpenzi wake huyo kiasi kwamba hawakufikiria kuhusu kupata mtoto mapema.

“Kwa sasa nimepanga kumbebea mimba na kumzalia Nuh,” alisema Shilole au Shishi Baby.
--GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !