Ray C kalia machozi leo, kilichomliza kiko hapa… (Video) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ray C kalia machozi leo, kilichomliza kiko hapa… (Video)

Ray CRay C ni staa wa muziki TZ ambae aliamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya… leo katika Ukurasa wake wa Instagram na kupost video tatu… analalamika kwamba yuko Hospitali na amekosa dawa.
Nashindwa kuvumilia, niko hapa kitengo cha madawa. Mpaka sasa hivi sijapewa dawa, kwa sababu nilipost ile post nyingine wananifanyia kama makusudi.. Nikikosa dawa wanataka nirudi kuvuta unga?“>>>–@rayc1982
Wana maamuzi yao lakini unakuta mtu umechelewa kama mimi natoka Bunju kila siku lazima niweke mafuta ya elfu 30 unawaambia nina tatizo bado ukifika unaambiwa imekuwa kama shule“>>> –@rayc1982
Ile dawa inauma.. Mwili unauma nasikia baridi mifupa inauma.. alafu wanajua lakini wanatunyima“>>>–@rayc1982Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.