Rafael Benitez atangazwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rafael Benitez atangazwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid

Bet Sasa
Baada ya kumtimua kocha wake Carlo Ancelotti, klabu ya Real Madrid sasa imemthibitisha ramsi Rafael Benitez kama kocha wake mpya, zikiwa ni siku mbili tu tangu kocha huyo aachane na klabu yake ya zamani, Napoli. Rafa Benitez - Real Madrid 
Madrid imethibitisha Benitez ametia saini mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi yake mara tu baada ya mapumziko baada ya msimu wa ligi za soka barani ulaya kumalizika.295201FE00000578-3108855-image-a-44_1433324831534
Benitez aliwahi kuzifundisha timu timu kama Valencia, Liverpool, Inter Milan, Chelsea na Napoli.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.