Picha: Lulu Arudi Mzigoni Baada ya Kuadimika - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Lulu Arudi Mzigoni Baada ya Kuadimika


Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye kwa muda sasa hajaonekana mbele ya kamera za kurekodi movies, leo kupitia ukurasa wake mtandaoni  ame-share nasi picha hiyo hapo juu akiwa lokesheni  waki-shoot Movie huku akionekana mwenye nguvu na furaha.
  “Back to Work...Doing wat I always Do Best..! On Set", Lulu aliandika kwenye picha hiyo.
Hongera saba Lulu kwa kurudi kazini, mashabiki wako naamni wamefarijika na hii

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.