Ommy Dimpoz Aambulia Matusi Kutoka Kwa Mashabiki Baada ya Kupost Picha ya Ali Kiba Instagram - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ommy Dimpoz Aambulia Matusi Kutoka Kwa Mashabiki Baada ya Kupost Picha ya Ali Kiba Instagram

Mwimbaji Ommy Dimpoz wa bongofleva yamemfika hapaaa na ikapelekea aamue tu kutoa ya moyoni mwake baada ya kupost picha ya tangazo la video mpya ya Ali Kiba kuonyeshwa TRACE TV June 28 2015 ambapo aliambulia Kutukanwa na Mashabik kwa kile kinachoonekana amemsaliti Rafiki yake Diamond ambae ana ugomvi wa chini chini na Ali Kiba...

Ali Kiba Aliifuta hiyo post na Kuandika Haya:

Sasa ndugu zangu tukipost kuhusu Wasanii wenzetu mnatukana, tukikaa kimya tuna roho mbaya…. tufanyeje?? matusi tu hamjali kama watu wana wazazi unamtukania mzazi mwingine kafa, lakini kwa taarifa yenu hainiumi ng’o‘ – Ommy Dimpoz

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.