Msanii Ruby Ataja Vitu Vinavyomtofautisha na wasanii wengine wa kike, Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Msanii Ruby Ataja Vitu Vinavyomtofautisha na wasanii wengine wa kike, Ipo Hapa

Ruby amefahamika na kujipatia sifa kede kede kwa wimbo wake Na Yule na pia kwa uwezo wake wa kipekee wa kuimba live.
11374471_1615360765378182_1634968481_n
Tumezungumza na msanii huyo kutaka kujua anajitofautisha vipi na wasanii wengine wa kike nchini.
“Tofauti yangu ya kwanza I do love music first, muziki ambao mimi nimeukuta huku sio live kwanza, mwingi ni playback,” amesema Ruby.
“Mimi napenda kufanya live music na nimekulia katika live music sijakulia katika muziki wa kutumia CD. Halafu I am very unique pia kwasababu mimi ni Ruby hakuna Ruby mwingine kwenye hii industry,” aliongeza.
Ruby amesema wimbo wake mpya unaitwa Sijutii na utatoka hivi karibuni.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !