MSANII DAVIDO AZINDUA BIASHARA YA NGUO "O.B.O BADDEST" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

MSANII DAVIDO AZINDUA BIASHARA YA NGUO "O.B.O BADDEST"

Bet Sasa
Msanii Wa Muziki Davido wa Nigeria amezindua mradi wa kuuza nguo ili kushindana na wauza nguo wengine nchini humo. Mwanamuziki huyo ameungana na makundi mengine ya wasanii na waendesha burudani ambao wamejikita katika mauzo ya nguo ili kuongeza vipato vyao mbali na muziki.
Moja ya aina ya nguo aliyozindua Davido.
Aina ya nguo alizozindua ni T-shirts ambazo amezipa jina la O.B.O.T.  Hii ni katika kutekeleza mafanikio yake ambayo ni pamoja na kuhitimu chuoni, kupata mtoto na kuzidi kujiimarisha katika muziki.
-gpl'

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.