Mrembo JOKETI MWEGELO Akiri Kumkosesha Diamond Tuzo za Kill Music - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mrembo JOKETI MWEGELO Akiri Kumkosesha Diamond Tuzo za Kill Music

Bet Sasa
Jokate
Ikiwa ni Siku chache zimepita toka Diamond Platnumz Kugalagazwa vibaya na hasimu wake mkubwa katika muziki Ali Kiba kwenye  Tuzo za Kill Music Awards 2015, Tayari mchawi wa kwanza wa msanii huyo amejitangaza hadharani...
Akiongea na Redio Clouds kwenye red carpet, Joketi Mwegelo Kidoti alikiri kumpigia kura Ali Kiba na Kushawisha wetu wengine wampigia kupitia Instagram na kumtosa mpenzi wake wa Zamani Diamond Platnumz..

Kitendo cha Jokate Kutangaza Hadharani kuwa yeye alikuwa miongoni mwa waliompigia kura Ali Kiba kimedhihirisha kuwa sio kwamba hapendwi na Team Kiba tu bali hata wepenzi wake wa zamani hawapendi kuona Diamond Akiendelea Kisaniiii..

-udakuspecially

TUNAOMBA SHARE HABARI HII ILI TUENDELEE KUKULETEA HABARI MOTOMOTO.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.