Mambo Band - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mambo Band


Mambo band ni band yenye jumla ya wasanii 4 yaani P Man Star, YuYu, Mussa Bhai na Van P. Kundi hili linapatikana Arusha maeneo ya Half London Sekei.
Mambo band ina malengo ya kukuza muziki wa Tanzania na kuitangaza Arusha kimuziki.

NB:Mambo band inafanya muziki wa aina mbili ambazo ni Coupe Decale na Fleva za kibongo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.