King Majuto Agutuka !! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

King Majuto Agutuka !!

Staa mkongwe wa filamu za vichekesho King Majuto ameamua  kufanya  filamu zake mwenyewe na si zakushirikishwa kama kipindi cha nyuma.

Akizungumza na gazeti la Nipashe wiki hii, Majuto alisema ameamua kuwa anatoa filamu zake baada ya kuona  vijana wadogo ambao wameanza kazi za uigizaji hivi karibuni wanafanya kazi za  kutengeneza  filamu zao wenyewe katika kampuni zao.
Majuto alisema anatafakari mbinu za kujiwekea mazingira mazuri kwa ajili ya kutengeneza filamu zake.
“Nimechoka kucheza katika filamu za watu” alisema Majuto ambaye anaongoza kwa kucheza filamu nyingi kwa sasa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.