Kim Kardashian ni mjamzito, anatarajia kupata mtoto wa pili na mume wake Kanye West - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kim Kardashian ni mjamzito, anatarajia kupata mtoto wa pili na mume wake Kanye West

Bet Sasa
Rapper Kanye West (37) na mke wake Kim Kardashian (34) wanatarajia kupata mtoto wa pili.
kim na kanye
Baada ya majaribio ya miezi kadhaa ya kushika ujauzito wa pili, Kim ameweka wazi kuwa ni mja mzito kupitia reality show ya Keeping Up With The Kardashians alipomueleza mdogo wake Khloe Kardashian juu ya majibu ya vipimo alivyofanya.
“I just got the blood test back and I am pregnant!” alisema Kim.
Kim na Kanye walipata mtoto wao wa kwanza wa kike North West June 15, 2013.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.