Kanye West na Kim Kardashian wanatarajia Kupata mtoto wa Kiume ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kanye West na Kim Kardashian wanatarajia Kupata mtoto wa Kiume !

Kanye West na Kim Kardashian wanatarajia kupata mtoto wa kiume.
kanye-kim-and-north
Kim alitangaza kuwa mjamzito wa mtoto wao wa pili wiki kadhaa zilizopita na jana wakati akimpongeza mume wake kwenye Father’s Day, aliweka wazi jinsi ya mtoto huyo.
“Your bond is so irreplaceable! Thank u for being such a good dad! We ❤️ &appreciate u so much! So blessed to have u,” alitweet Kim.
“You’re such a good daddy to North & you will be the best daddy our new son too,: aliongeza.
Kwenye Instagram pia aliandika:
“I’m so lucky to be married to a man who is so in love with his daughter, your bond is so irreplaceable! Thank you for being such a good dad! We love and appreciate you so much! We’re so blessed to have you.”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.